Makundi ya damu

Makundi ya damu смотреть последние обновления за сегодня на .

Yafahamu makundi ya damu mwilini na kwanini ni muhimu ujue kundi lako | Bonge la Afya

42132
574
233
00:18:12
07.12.2020

Unafahamu makundi ya damu? Kwanini ni vizuri kujua kundi lako la damu? Ungana na Festo Ngadaya kwenye episode mpya ya #BongelaAfya kufahamu zaidi

FAHAMU TABIA ZA WATU WENYE DAMU KUNDI 'A'

15951
181
102
00:08:44
26.07.2020

#kundiladamu #tabiazawatu #Ipmmedia   Lifahamu group lako la damu na Tabia zake. Kama umependezwa na channel yetu Jiunge hapa 👇SUBSCRIBE 🤍 -Music by sleep and Relaxation Music IPMMEDIA,tabiazawatu,kundiladamunatabia, Tabiazawatu wenyedamukundiO,tabiazawatuwenyedamukundiA,damukundiAB,damukundiB,fahamutabiayako,tabianatarehe,makundimanneyakisaikolojia,makundiyatabia, Saikolojia,tabiazawatu, tabia yako, tabiazabinadamu, Sirinzito,tabiayakokulingananatarehe mamboyakushangaza,mwandikonatabia, aina za mwandiko, saikolojianabinadamu,ubongo, mamboyasaikolojia, saikolojiayamaisha, saikolojiayamapenzi, ukweliwasaikolojia, saikolojiayakushangaza, mdomowazi, kushangaza,kundiladamunatabia,tabiazawatuwenyedamu,makundiyadamu,tabianakundiladamu, © IPM MEDIA 2021 IPMMEDIA kundiladamu, tabia,watu,sifazawatuwenyedamu kundi A, makundiyadamu, magonjwa, chakula, vyakula, sayansi, group, kundiladamu, groupA, mpenzi, mwenza,watu, tabiazawatu, kundiA,tabia,watu,sifa

Makundi ya damu ni nini na yana maana gani?

5134
33
6
01:25:41
25.11.2020

Mezahuru : Damu na Makundi,Novemba 25,2020. Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : 🤍 Facebook : 🤍 Twitter : 🤍 Instagram : 🤍

SIRI ZILIZOPO KATIKA MAKUNDI YA DAMU EP1

6503
42
10
00:30:44
15.05.2021

Masomo haya yanalenga kukuimarisha wewe kijana unayemuamini Kristo kuzidi kukua kama mwana wa Mungu, na kujenga maarifa katika maeneo mbalimbali ya maisha Kwenda mmoja kwa mmoja kwenye kujifunza juu ya kundi husika click kwenye muda hapa chini 00:03:25 MAFUNZO KUHUSU KUNDI A 00:18:32 MAFUNZO KUHUSU KUNDI B Ili kuzidi kujengwa wasiliana nasi kupitia WhatsApp 0752 487 553. Unakaribishwa kuchangia huduma ya Powerful Generation kupitia M Pesa 0752 487 553. Karibu na Mungu akubariki. #powerfulgeneration #mikesha #2021

FAHAMU TABIA ZA WATU WENYE DAMU GROUP "O"

31762
281
223
00:10:57
12.01.2021

#kundiladamu #Tabiazawatu #Ipmmedia Leo tunaendelea na Tabia za watu wenye damu kundi O Tizama video hadi mwisho upate uhondo Tags: -Tabia za watu wenye damu kundi O Group O positive -Tabia za watu Kundi la damu Makundi ya damu Ipm media Elimika online

SIRI ZILIZOPO KATIKA MAKUNDI YA DAMU EP2

6353
49
12
00:18:09
19.05.2021

Masomo haya yanalenga kukuimarisha wewe kijana unayemuamini Kristo kuzidi kukua kama mwana wa Mungu, na kujenga maarifa katika maeneo mbalimbali ya maisha Kwenda mmoja kwa mmoja kwenye kujifunza juu ya kundi husika click kwenye muda hapa chini 00:01:09 MAFUNZO KUHUSU KUNDI AB 00:08:00 MAFUNZO KUHUSU KUNDI O Ili kuzidi kujengwa wasiliana nasi kupitia WhatsApp 0752 487 553. Unakaribishwa kuchangia huduma ya Powerful Generation kupitia M Pesa 0752 487 553. Karibu na Mungu akubariki. #powerfulgeneration #mikesha #2021

Mjamzito mwenye makundi haya ya Damu unahitaji umakini Sana! | Makundi ya Damu yanayohitaji umakini!

3857
60
77
00:04:25
28.03.2022

Endapo wewe ni Mjamzito au Mwanamke huna Ujauzito Ila kundi lako la Damu ni kati ya haya. 1. Group A negative (A -ve) 2. Group B negative (B -ve) 3. Group AB negative (AB -ve) 4. Group O negative (O -ve) na umeolewa au kuzaa na Mwanaume mwenye Kundi la Damu lolote lenye chanya (A +ve, B +ve, AB +be au O +be). Mwanamke unahitaji umakini Sana wakati wa Ujauzito wako. Hakikisha mara baada ya kujifungua unachoma sindano ya Ant-D ndani ya Masaa 72 baada ya kujifungua, Mimba kuharibika au kutoka, Ndani ya masaa 72 baada ya kuharibu Mimba yako. Ili kuepuka changamoto za kujifungua Mtoto mfu au kupoteza watoto wako hususani Mimba ya Pili na kuendelea. MWANAMKE MWENYE MAKUNDI HAYO YA DAMU UTAKIWA KUWA MAKINI SANA NA HAYA MAMBO: Mjamzito kuwa Makini hususani jambo lolote linaweza kusababisha Damu yako kuchangamana na Damu ya Mtoto kwa bahati mbaya, kwa mfano, 1. Kutokwa Damu katika kipindi cha Ujauzito wako. 2. Mimba kuharibika au kutishia kutoka ktk Ujauzito wako. 3. Kutoa Mimba changa 4. Kupata Ajali. Nifuatilie kwenye channel yangu kuhusu Mambo ya Ujauzito. 🤍 Nifuatilie Instagram kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito. 🤍 Nifuatilie kwenye website hii kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito. 🤍 Nifuatilie kwenye Facebook page kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito. 🤍 Usisahau kudownload app ya Mama Afya Bora kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito. 🤍 #drmwanyika #mamaafya #bloodgroups

Makundi ya damu

4186
14
0
00:01:01
03.11.2017

Jinsi mtu anavyoweza kutoa na kupokea damu kutokana na makundi

MAKUNDI YA DAMU: Mimba kuharibika / Kutopata mtoto / Madhara ya damu kutoendana / KA clinic

6121
53
41
00:06:32
10.02.2020

Leo tutaona ni namna gani makundi ya damu yanavyoweza kusababisha mtu kutopata ujauzito au kuharibika kwa mimba mara kwa mara.

VYAKULA ANAVYOTAKIWA KULA MTU MWENYE DAMU GROUP 'O'

13749
322
47
00:04:59
06.12.2021

#vyakula #damukundiO #Ipmmedia Vijue vyakula anavyotakiwa kula mtu mwenye damu kundi O ili aweze kuwa na afya njema na kuepukana na baadhi ya magonjwa. Kama watu wangekuwa wanakula kulingana na makundi Yao ya damu basi wangeweza kuepukana na magonjwa mengi kirahisi sana, Sasa ili uweze kuelewa somo hili kwa asilimia 100 Tizama video mpaka mwisho utajifunza mengi mno. Karibuni Sana. Keywords: -Vyakula anavyotakiwa kula mtu mwenye damu kundi O -Makundi ya damu na ulaji wa vyakula -Kama una damu group O kula Vyakula hivi -Vyakula anavyotakiwa kula mtu mwenye damu group O -vyakula vya kuongeza damu -Vyakula anavyotakiwa kula mgonjwa wa vidonda vya tumbo -Vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume kwa asilimia 100 -vyakula vya kuongeza nguvu za kiume Vyakula anavyotakiwa kula mama mjamzito Vyakula vya kuongeza nguvu za kiume haraka Mzunguko wa hezi ya mwanamke Vyakula vya kuongeza damu kwa mjamzito Huba Ipm media Afya bora Afya tips Jinsi ya kupata mapacha Jinsi ya kupata mtoto wa kiume Siku za hatari za kushika mimba Dalili za mapacha kwa Mama mjamzito Dawa ya meno kuwa meupe Herufi zinazoendana katika mahusiano Kalenda ya mimba Mahusiano ya kimapenzi Matunda damu Matunda ya kuongeza damu Mazoezi ya kupunguza mwili Mkojani Saikolojia ya binadamu Vidonda vya tumbo na tiba yake Vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume Vyakula vya mama mjamzito Vyakula vya kuongeza nguvu za kiume Tabia za watu wenye damu kundi O positive -Tabia za watu wenye damu kundi O katika mahusiano -Tabia za watu katika mapenzi -Tabia za watu wenye damu kundi A -Fahamu tabia yako kulingana na tarehe ya Kuzaliwa -Tabia za watu waliofanikiwa -Tabia za watu wenye akili -Tabia za wakenya -Fahamu tabia yako -Kundi la damu na Tabia za watu -Fahamu kundi la damu litakalo kukosesha mtoto -Tabia za watu wenye damu kundi O -Watu wenye damu kundi O katika mahusiano -Tabia za wakenya official video -Kundi la damu na Tabia -Vyakula -Magonjwa

'KAPIMENI MAKUNDI YA DAMU KABLA YA KUOANA' MTAALAMU AFUNGUKA YOTE" DOKTAMATHEW

321
12
3
00:10:01
22.03.2022

'KAPIMENI MAKUNDI YA DAMU KABLA YA KUOANA' MTAALAMU AFUNGUKA YOTE" DOKTAMATHEW wa 🤍deccapolyclinic Nimetoa elimu hii ya masuala ya Damu nilipohojiwa na 🤍millardayo . Fuatilia hadi mwisho ili ufahamu umuhimu wa kupima kundi la damu la mwenza wako kabla ya kuoana. Asanteni sana 🤍millardayo kwa kuamua kuokoa ndoa za watu kwa kuwasogezea elimu hii. Asante sana 🤍kamugisha_tza kwa kazi hii nzuri ya kusaidia jamii kiafya.🙏

MAKUNDI YA DAMU: makundi ya damu kwa undani zaidi // sehemu 1 // KA Clinics.

2961
34
31
00:07:02
13.12.2019

Kati ya mambo muhimu zaidi kwa afya ya binadamu ni damu. Licha tu ya kuiona ni nyekundu kwa rangi lakini pia ina makundi yake na kutokana na hayo makundi tunafanikiwa kuwapa wagonjwa au wahitaji wa damu katika hali mbalimbali lakini makundi hayo pia huweza kusababisha madhara ya kiafya kwa mpokeaji endapo ataongezewa damu isiyo ya kundi lake. Kufahamu kwa undani zaidi makundi ya damu na madhara yanayoweza kutokea kwako au kwa mtu wa karibu yako basi ungana nami ili upate kufahamu hayo muhimu kuhusu makundi ya damu.

TABIA ZA WATU WENYE DAMU KUNDI AB

6407
36
24
00:06:27
03.02.2021

#tabiazawatu #kundiladamu #Ipmmedia Leo tunaendelea na tabiazawatu wenye damu kundi AB Tizama video hadi mwisho upate uhondo : Tags: Group la damu na Tabia zake -Tabia za watu wenye damu group O positive -Tabia za watu wenye damu kundi O katika mahusiano -Tabia za watu katika mapenzi -Tabia za watu wenye damu kundi A -Fahamu tabia yako kulingana na tarehe ya Kuzaliwa -Tabia za watu waliofanikiwa -Tabia za watu wenye akili -Tabia za wakenya -Fahamu tabia yako -Kundi la damu na Tabia za watu -Fahamu kundi la damu litakalo kukosesha mtoto -Tabia za watu wenye damu kundi O -Watu wenye damu kundi O katika mahusiano -Tabia za wakenya official video -Kundi la damu na Tabia -video za tabia mbaya -Picha za tabia mbaya -Tabia za wakenya -Tabia za watu waliofanikiwa -Mapenzi -Damu mbaya -group O -Damu group O -video za tabia mbaya 2022 -Mahusiano -Saikolojia ya binadamu -Vyakula -Magonjwa -Tabia za watu wenye damu kundi AB -Damu kundi AB -Damu group AB

KUNDI LA DAMU LINALOSABABISHA MIMBA KUTOKA MARA KWA MARA

10345
169
139
00:12:21
19.07.2020

#kundiladamu #mimba #Ipmmedia Ni muhimu kulinganisha makundi ya damu na mwenza wako Utofauti wa makundiyadamu hauathiri wanandoa pia unaweza kuwa tatizo wakati wa kupata mtoto. Utofauti wa mfumo wa ABO sio jambo kubwa, lakini sio kwa mfumo wa Rh. Kutofautiana au kutoingiliana kwa Rh ni tatizo kubwa ambalo linaweza kumuathiri mama na mtoto. Kama wazazi msipokuwa makini mnaweza kujikuta mnaharibu mimba nyingi au kupoteza maisha ya mtoto. Keywords: Mama mjamzito anatakiwa ale vipi Group la damu na uzazi Group la damu na mimba Group la damu na Tabia zake Group la damu Muhimu, ijue group ya damu itakayokukosesha kupata watoto Yafahamu makundi ya damu mwilini na kwanini ni muhimu ujue kundi lako /bonge la afya Mimba kuharibika kutokana na utofauti wa Damu ya Baba na mama /visababishi na namna ya kuepuka Mama afya Tabia za watu wenye damu kundi B Tabia za watu wenye damu group B Kundi la damu na Tabia zake Tabia za watu wenye damu kundi B katika mahusiano -Tabia za watu wenye damu group O positive -Tabia za watu wenye damu kundi O katika mahusiano -Tabia za watu katika mapenzi -Tabia za watu wenye damu kundi A -Fahamu tabia yako kulingana na tarehe ya Kuzaliwa -Tabia za watu waliofanikiwa -Tabia za watu wenye akili -Tabia za wakenya -Fahamu tabia yako -Kundi la damu na Tabia za watu -Fahamu kundi la damu litakalo kukosesha mtoto -Tabia za watu wenye damu kundi O -Watu wenye damu kundi O katika mahusiano -Tabia za wakenya official video -Kundi la damu na Tabia -video za tabia mbaya -Picha za tabia mbaya -Tabia za wakenya -Tabia za watu waliofanikiwa -Mapenzi -Damu mbaya -group O -Damu group O -video za tabia mbaya 2022 -Mahusiano -Saikolojia ya binadamu -Vyakula -Magonjwa Mimba kuharibika husababishwa na nini Mimba kuharibika Mimba kuharibika dalili Mimba kuharibika mara kwa mara Sababu za mimba kuharibika Mimba kutoka mara kwa mara Mimba kutoka husababishwa na nini Mimba inayotishia kutoka Vitu vinavyosababisha mimba kutoka Dalili za mimba kutoka / kuharibika Dalili za mimba iliyoharibika Dalili za mimba iliyofungwa nje ya kizazi Dalili za mimba iliyotoka Dalili za mimba iliyotungwa nje ya kizazi Dalili za mimba iliyotoka nusu Afya tips

FAHAMU KUHUSU MAKUNDI YA DAMU(BLOOD GROUP) EP 1

28
8
0
00:16:04
12.08.2022

#bloodgroup #subscribe

50% /50% za wazazi Katika makundi ya damu.

114
8
3
00:15:35
22.07.2021

Je wajua kuwa makundi ya damu tunarithi kutoka kwa wazazi wetu wa kibiologia.

MAKUNDI YA DAMU: Mtambue mtoto aliehathirika na damu kutoendana / KA Clinic

1482
12
14
00:07:56
31.03.2020

Video za Makundi ya damu: 1. Video ya 1: Makundi ya damu kwa undani zaidi. 🤍 2. Video ya 2: Binadamu na Nyani. 🤍 3. Video ya 3: Madhara ya kupeana damu. 🤍 4. Video ya 4: Madhara ya makundi ya damu kutoendana kwenye mimba. 🤍

FAHAMU MAKUNDI YA DAMU (BLOOD GROUP) FINAL EP

9
3
0
00:08:06
15.08.2022

#bloodgroup #subscribe

MAKUNDI YA DAMU: Binadamu na Nyani // Ukweli kuhusu makundi ya damu // KA clinics

122
2
0
00:08:35
18.12.2019

Karibu katika mwendelezo wa video hizi za makundi ya damu kwa undani zaidi. Leo tunaangalia mfumo wa Rh ambao ndio sababu ya makundi yetu ya damu kuwa na positive( chanya) au Negative (Hasi). Pia tutapata ukweli kuhusu Ufanano wa Nyani na Binadamu katika makudi ya damu. Hivyo usikose na karibu sana.

BLOOD GROUPS: MAMBO 5 USIYOFAHAMU KUHUSU MAKUNDI YA DAMU

130
6
0
00:04:07
31.12.2020

Je unafahamu kundi lako la damu? A, B, AB or O #AFYAROOM #afyaroom afyaroom Imeandaliwa na Dr. Hilary Emmanuel +255 713 281 275. Dar-es-salaam, Tanzania. Follow us on all social networks 🤍afyaroom Edited by Kashi, A. Thank You.

MAKUNDI YA DAMU: Magonjwa hatarishi //Sehemu ya 3 // Madhara ya kupeana damu // KA clinics.

1483
19
6
00:07:30
25.01.2020

MAKUNDI YA DAMU: Magonjwa hatarishi //Sehemu ya 3 // Madhara ya kupeana damu // KA clinics. MAKUNDI YA DAMU( VIDEOS) 1. MFUMO WA ABO (Sehemu ya kwanza); 🤍 2. MFUMO WA RH (Sehemu ya Pili); 🤍 UGONJWA WA UTI. 🤍

TABIA ZA WATU WENYE DAMU KUNDI 'B' KATIKA MAHUSIANO NA MAISHA

11224
125
85
00:08:49
01.08.2020

#kundiladamu#tabiazawatu #Ipmmedia -Leo tunaendelea na tabiazawatu wenye damu kundi B, Tizama video hadi mwisho upate uhondo. Tags: Tabia za watu wenye damu kundi B Tabia za watu wenye damu group B Kundi la damu na Tabia zake Tabia za watu wenye damu kundi B katika mahusiano -Tabia za watu wenye damu group O positive -Tabia za watu wenye damu kundi O katika mahusiano -Tabia za watu katika mapenzi -Tabia za watu wenye damu kundi A -Fahamu tabia yako kulingana na tarehe ya Kuzaliwa -Tabia za watu waliofanikiwa -Tabia za watu wenye akili -Tabia za wakenya -Fahamu tabia yako -Kundi la damu na Tabia za watu -Fahamu kundi la damu litakalo kukosesha mtoto -Tabia za watu wenye damu kundi O -Watu wenye damu kundi O katika mahusiano -Tabia za wakenya official video -Kundi la damu na Tabia -video za tabia mbaya -Picha za tabia mbaya -Tabia za wakenya -Tabia za watu waliofanikiwa -Mapenzi -Damu mbaya -group O -Damu group O -video za tabia mbaya 2022 -Mahusiano -Saikolojia ya binadamu -Vyakula -Magonjwa

MAKUNDI YA DAMU:Jikinge na athari za makundi ya damu // Anti D // Rhogam // KA Clinic

477
9
9
00:04:09
06.05.2020

Leo nakuonesha namna ambavyo unaweza ukajikinga na ukamkinga mtoto au mimba dhidi ya Hathari ziletwazo na Makundi ya damu kutoendana. Unaweza pia ukafatilia mfululizo wa video hizi kuanzia video ya kwanza hadi hii ya mwisho kupitia link hapa chini. Video za Makundi ya damu: 1. Video ya 1: Makundi ya damu kwa undani zaidi. 🤍 2. Video ya 2: Binadamu na Nyani. 🤍 3. Video ya 3: Madhara ya kupeana damu. 🤍 4. Video ya 4: Madhara ya makundi ya damu kutoendana kwenye mimba. 🤍 5. Video ya 5: Mtambue mtoto aliehathirika na damu kutoendana. 🤍

"Fahamu siri iliopo kuhusu damu na makundi ya damu"

130
8
4
00:06:46
25.06.2021

Karibu katika Mr. lab tv utapata kujua kwakifupi kuhusu damu na makundi ya damu . usisahau kubonyeza alama nyekundu iliyoandikwa" Subscribe" uli uendelee kufarahia vipindi vijavyo bila kusahau kutoa maoni/ comment yako...Ahsante

TABIA ZA WATU WENYE DAMU KUNDI "A" KATIKA MAHUSIANO

6462
174
34
00:06:43
15.12.2021

#Tabiazawatu #kundiladamu #Ipmmedia Zijue tabia za watu wenye damu kundi A hasa katika mahusiano. Watu wenye damu kundi A ni watu wazuri sana katika mahusiano kutokana na Tabia zao, pia ni watu ambao wanapendwa na wengi na wanapendeka. Ili kujua mengi zaidi kuhusu undani wao Tafadhali tizama video hii mpaka mwisho, kwa hakika utapata darasa na uhondo wa kutosha. Tumia mafundisho haya katika kujitambua na kumtambua zaidi mwenza wako na si vinginevyo. Tags: Tabia za watu wenye damu kundi A -Tabia za watu wenye damu kundi O positive -Tabia za watu wenye damu kundi A katika mahusiano -Tabia za watu wenye damu kundi A Ipm media Elimika online

HIZI NDIO SIFA ZA GROUP O

10063
30
17
00:04:12
01.06.2018

MAKUNDI YA DAMU, VYAKULA NA TABIA Ainaza blood groups (O, A, B na AB) ulaji sahihi ikitegemeana na blood groups ukonayo... Hivini baadhi ya vitu sahihi vyakula vinavyoendana na blood group (kundi la damu) yako. Angalia blood group yako na ufahamu ni vyakula gani vya kutumia na ambavyo sio vya kutumia. ZIFAHAMU GROUP (KUNDI) ZA DAMU NA TABIA ZAKE ILIUJINUSURU NA MAGONJWA YAEPUKIKAYO. Kundilako la damu linaweza kukufanya uwedhaifu au imara katika kukabilia nama gonjwa fulani. Nivema kujua kundilako la damu sawa na ilivyo vema kujua mambo mengine yanayo changia kuwa na afya njema. Kujua kundi lako la damu Kunaweza kukuza uwezo wako wa kufahamu hatari zinazo kukabili kutokana na kundi la damu Ulilo nalo nakuepuka hatari hizo kwa kutumia mtindo wa maisha unaofaa. Hatahivyo, Kama vilivyo viungo vingine vya mwili, damu nayo inachanga moto yakukumbana na maradhi mbalimbali, magonjwa yanayo athiri utendaji kazi wa damu yanaweza kugawanywa katika makundi kama vile ya kurithi, kuambukiza, mabadiliko ya kimwili na saratani tofauti. Damu ya binadamu imegawanyika katika makundi makuu manne ambayo ni A, B, AB, na O, binadamu yeyote lazima awe na mojawapo ya makundi hayo. GROUP A. Hawani vegetarians wanahitaji sana mananasi na zabibu kwawingi. Mara nyingini wale watu ambao hawaambiliki yaaniwakiamua kitu wameamua mpaka wakitekeleze hata kama ni kibaya. Pia ni watu ambao ni wabishi sana au wabishani nahawa kubali kushindwa kirashis. ✔WatuWakundi hili pia huwa wana changamoto ya kuwa na upungufu Wa acid mwilini hivyo huandamwa na vidonda vyatumbo. ✔Ni watu ambao hushambuliwa sana na saratani za mishipa ya fahamu, utumbo, mifuko ya mayai, mfuko wa kizazi na mlango wa uzazi kwa wanawake, kibofu cha mkojo, figo, kongosho na saratani ya kinywa, teziza mate na umio/kuishiwa na damu mara kwa mara. ✔Wanahatari pia ya kupatwa na magonjwa ya Moyo, kupata lehemu mbaya mwilini, kwenye Moyo, wako hatarini pia kupata kiharusi na ugonjwa Wa shinikizo la damu au Wa Moyo. ☑Vyakula wanavyo takiwa kula kwa wingi ni mboga mboga za Majani na nyama nyeupe nyaman yekundu sio nzuri sana kwa watu hawa. ☑ hawatakiwi kugusa kabisa au kutumia Mara kwa Mara vyakula hivi :-nyama nyekundu, ngano, na maziwa. Maana vina hitaji aside nyingi na wao hawana uwezo wakufanya mmeng`enyo wa vyakula hivi, kutokana na kuwa na upungufu wa aside tumboni mwao. ☑ wakila ndizi, maembe na mapapai huwa sababishia waamkapo asubuhi kutokwa na makamasi kwa wingi. ☑Wanatakiwa kula kabisa vyakula vyenye aside kwa wingi kama machungwa, zabibu, passion, malimao, mananasi , nyanya na jamii yake ☑ Wakundi hili wanapenda sana wali na Mara nyingi ndio Chakula chao kikuu. Hawatakiwi kugusa kabisa ngano namahindi na endapo wakatumia vyakula hivi hasa kwa wanawake huwasababishia kupata hedhi Mara mbili kwa mwezi. Tabia zao ni hizi hapa:- 👉niwatu Wa gharama sana hasa wadada au wanawake. 👉huishiwa au wanakuwa na upungufuWa damu sana. 👉ni wavivu nikiwa namaana hawawezi Kazi ngumu ngumu. 👉sio waongo au wadanganyifu, ni wakweli 👉ni wasiri siri sana. 👉ni waoga sana. 👉wanapenda kujificha jificha kama ni usiku hupenda kukaa gizani sana. 👉ni waaminifu sana na hapa Mara nyingi unawakuta Maafisa utumishi kwani hufuatasheria. 👉Ni watu ambao pia hawaumwi Mara kwa Mara. GROUP B. ✔Hili ni kundi la watu ambao ni wazungumzaji yaani ukiwapa nafasi ya kuzungumza ni kama vile umekosea na hapa Mara nyingi una wapata watu kama MCs. ✔Ni watu ambao wana tabia zilizojitosheleza yaani wamekamilika. ✔Ni watu ambao husumbuliwa sana au wakohatarini kupata magonjwa kama uvimbe Wa fizi, na pia wanawake walioko katika kundi hili wako hatari ni kupata ugonjwa Wa kisukari aina ya pili. ✔ Mara nyingi ni watu ambao wakipata maambukizi ya virusi vya aina yoyote ile huwa vichaa kutokana na kwamba vinaenda kuharibu mfumo wao Wafahamu, wanauwezo mkubwa kukabiliana nau gonjwa wa kibpndupindu. ✔Wanahatari kubwa yakupata saratani ya koo. ☑Watu Wakundi hili hawashauriwi sana kula vya kula vya aina ya kuku, Karanga, korosho, na nyanya. (Mara nyingi wao wenyewe tu hawapendi kuku ingawa hawaruhusiwi kula), Karanga,korosho,nanyanya. GROUP AB. ✔Hawa ni watu ambao Mara nyingi hawaeleweki yaani wana tabiaza A na pia tabiaza B wakati mwingine. ✔Ni watu ambao wanaweza akaanzisha kitu asikimalizie ukakuta kaishia katikati halafu kaanzisha kingine. ✔Ni watu ambao wako hatarini Kupata magonjwa kama kiharusi, dengue, magonjwa ya Moyo, shinikizo la Moyo, na lehemu kujaa kwenye mishipa ya damu. ✔Watu Wa kundihili Mara nyingi wakifikia uzeeni uwezo wao Wakufikiri hupungua kwa haraka. Lakini Mara nyingi kupungua kwa uwezo Wakufikiri hutokana na magonjwa kama shinikizo la Moyo, kisukari na lehemu kuwa nyingi sana mwilini. ✔ ni watu ambao wanauwezo mkubwa sana Wa kukabiliana na magonjwa yaani kinga yao ya mwili ni imara ukifananisha na makundi mengine yote ya damu. *# Hawa wanaweza kula Vya kula Vya group A au B. GROUP O. ✔Hawa ni watu ambao n

Fahamu Makundi adimu ya Damu | Mfahamu anayeweza kukuchangia damu

27
0
0
00:30:39
25.12.2021

Picha hizi zinatengenezwa na TUMAINI MEDIA. Matumizi yoyote ya picha hizi ni marufuku bila idhini kutoka TUMAINI MEDIA Hakimiliki © Tumaini Television - Haki zote zimehifadhiwa.Tafadhali Endelea Ku- Subscribe akaunti hii na bonyeza alama ya Kengele ili kupata taarifa zetu kwa wakati sahihi.

CORONA haikupati ng'o kama una makundi haya ya DAMU /uhakika hadi 97%

1590
4
1
00:01:34
24.03.2020

usisahau kusubscribe youtube channel yetu ya jqonline tv

Makundi ya watu wajitolea kutoa damu kufuatia uhaba mkubwa

774
3
0
00:01:59
21.07.2020

Uhaba wa damu umeendelea kushuhudiwa nchini huku damu iliyoko kwenye taasisi ya hifadhi ya damu ikiwa chache mno. Ni kufuatia visa vya uhaba wa damu ambapo juhudi za kukusanya damu katika mji wa Kitale kaunti ya Trans Nzoia zimekuwa zikiendelea. Chama cha wanahabari eneo la Kitale kikiwa miongoni mwa wale waliojitokeza kutoa damu huku waakilishi wake wakiahidi kuwa mstari wa mbele kuwahamasisha wakaazi kuhusu haja ya kutoa damu

TABIA ZA WATU WENYE DAMU GROUP 'O' KATIKA MAHUSIANO

72493
1339
228
00:10:09
03.12.2021

#Tabiazawatu #GroupO #Ipmmedia Zijue tabia za watu wenye damu group O hasa katika mahusiano. Watu wenye damu kundi O ni watu wazuri sana katika mahusiano kutokana na Tabia zao, pia ni watu ambao wanapendwa na wengi na wanapendeka. Ili kujua mengi zaidi kuhusu undani wao Tafadhali tizama video hii mpaka mwisho, kwa hakika utapata darasa na uhondo wa kutosha. Tumia mafundisho haya katika kujitambua na kumtambua zaidi mwenza wako na si vinginevyo. Tags: -Tabia za watu Damu group O positive -Watu wenye damu kundi O Mahusiano Ipm media Elimika online

Tatizo linalotokana na uzazi kutokana na utofauti wa makundi ya damu kati ya mama na mtoto JAUNDICE

44
1
0
00:06:30
06.10.2018

JAUNDICE TISHIO KWA WAMAMA WAJAWAZITO, JIFUNZE MENGI KUPITIA RWAMBO MEDIA ONLINE TV #blood#jaundice#aggrutination#kifafachauzazi

WATU WENYE DAMU KUNDI '' O'WANAVUTIWA ZAIDI NA KUNDI 'A' KATIKA MAHUSIANO

6073
38
40
00:08:33
17.02.2021

#mahusiano#kundiladamu #Ipmmedia Leo utajifunza jinsi mahusiano kati ya kundi O na kundi A yanavyokuwa. Je wanaendana au hawaendani? Nini kifanyike ili waweze kudumu katika mahusiano Yao? Twende pamoja mwanzo hadi mwisho wa video hii upate kuyajua yote hayo. IPMMEDIA,tabiazawatu,kundiladamunatabia, Tabiazawatu wenyedamukundiO,tabiazawatuwenyedamukundiA,damukundiAB,damukundiB,fahamutabiayako,tabianatarehe,makundimanneyakisaikolojia,makundiyatabia, Saikolojia,tabiazawatu, tabia yako, tabiazabinadamu, Sirinzito,tabiayakokulingananatarehe mamboyakushangaza,mwandikonatabia, aina za mwandiko, saikolojianabinadamu,ubongo, mamboyasaikolojia, saikolojiayamaisha, saikolojiayamapenzi, ukweliwasaikolojia, saikolojiayakushangaza, mdomowazi, kushangaza,kundiladamunatabia,tabiazawatuwenyedamu,makundiyadamu,tabianakundiladamu, © IPM MEDIA 2021

Makundi ya vijana yahamasisha uchangiaji damu | Huu ndiyo mfano walioufanya

39
0
0
00:01:58
11.04.2022

Subscribe hapa : 🤍 Tufuate Kwenye Twitter : 🤍 Like Ukurasa wetu wa Facebook : 🤍

MADHARA Yanayoweza Kujitokeza Kwenye MIMBA, Endapo MKE na MUME Watatofautiana Makundi ya DAMU.

135
0
0
00:02:29
09.04.2018

usisahau ku SUBSCRIBE youtube channel yako Pendwa kwa Mawaidha Mazuri ya KIDINI(kiislamu) na ya KIJAMII yenye Kuelimisha JAMII na ULIMWENGIU.

Namna damu inavyokaguliwa na kutenganishwa kulingana na makundi yake

472
1
0
00:06:52
15.06.2017

Ulimwengu mzima unaadhimisha siku ya utoaji damu. Kenya inafaa kuwa na akiba ya damu ya painti 400,000 lakini mwaka jana ilikusanya painti 165,000 pekee. Ili kufahamu namna damu hukusanywa,kutenganishwa kulingana na makundi yake, kisha kuhifadhiwa humu nchini.

FAHAMU KUHUSU WATU AMBAO HAWAWEZI KUAMBUKIZWA UKIMWI

56445
348
67
00:04:20
31.08.2020

Kuna watu hawawezi kupata maambukizi ya UKIMWI (VVU) na hawawezi kuona dalili za UKIMWI hata virusi vya UKIMWI vikiingia mwilini mwao. Tazama video kufahamu zaidi

Назад
Что ищут прямо сейчас на
Makundi ya damu rinki dasi baul gaan VOA Deewa বাংলাদেশী পাসপোর্ট ৭২ ঘন্টায় পাবার উপায় Ruka Nordic lagu lama সেরা গায়ক Rezo Gnu Rishabam rasi palan Pawan Singh Ghanaian music Niru Magar LeBron James Lucid Dreams Kaium Molla indie cross despair আবু ত্বহা আদনান এর ওয়াজ golden era hiphop dayro SA MP