Wizara ya Elimu

Wizara ya Elimu смотреть последние обновления за сегодня на .

Wizara ya elimu yabadili kauli

863
5
0
00:01:59
25.06.2019

Wizara ya elimu imekanusha kwamba mfumo wa kutoa nafasi maalum kwa wanafunzi wa maeneo kame umetupiliwa mbali huku hisia tofauti zikitolewa baada ya taarifa kwamba mfumo huo hautazingatiwa tena. Haya yanajiri huku knec ikifungua rasmi mtandao wake hii leo kwa wanafunzi kuchagua shule watakazojiunga nazo. Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: 🤍 🤍 🤍 🤍 🤍

KATIBU Mkuu WIZARA ya Elimu AWASHA MOTO - "NI MARUFUKU KUAMSHA WANAFUNZI SAA KUMI TUTASIMAMIA HILI"

7528
26
15
00:08:55
07.12.2021

KATIBU Mkuu WIZARA ya Elimu AWASHA MOTO - "NI MARUFUKU KUAMSHA WANAFUNZI SAA KUMI TUTASIMAMIA HILI" Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia amewataka wakuu wa shule kuzingatia miongozo inayotolewa na Wizara ya Elimu ili kuenenda na ubora wa elimu tofauti na ambavyo wanajipangia ratiba za kuwaamusha wanafunzi na kusoma katika vipindi ambavyo havipo kimipangilio ya wizara hivyo watakaoendelea kufanya hivyo watachukuliwa hatua kali za kinidhamu. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

Bajeti ya Wizara ya Elimu ikipitishwa bungeni - Mei 11, 2022

892
4
0
00:52:32
11.05.2022

#LIVE: Mwenyekiti Mbowe kutaja hatma ya wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA | Leo Mlimani City Subscribe hapa : 🤍 Tufuate Kwenye Twitter : 🤍 Like Ukurasa wetu wa Facebook : 🤍

🔴#LIVE: WABUNGE WAMKAANGA WAZIRI MKENDA, BAJETI YA WIZARA YA ELIMU IKIJADILIWA..

3671
7
0
01:13:11
10.05.2022

🔴#LIVE: WABUNGE WAMKAANGA WAZIRI MKENDA, BAJETI YA WIZARA YA ELIMU IKIJADILIWA.. Kikao cha Bunge la 12 kinaendelea leo Mei 10, 2022 ambapo ni kipindi cha maswali na majibu asubuhi hii. Wabunge wanaibana serikali maswali na kupatiwa majibu. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

Wabunge wakichangia wizara ya Elimu bungeni - Mei 10, 2022

1760
5
0
01:35:41
10.05.2022

Subscribe hapa : 🤍 Tufuate Kwenye Twitter : 🤍 Like Ukurasa wetu wa Facebook : 🤍

Wizara ya Elimu imewasimamisha kazi wengine watatu

5944
21
6
00:07:45
27.02.2016

Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imewasimamisha kazi mara moja watumishi watatu ambao walikuwa na jukumu la kusimamia sheria ya manunuzi na kazi ya uchapishaji wa vitabu ili kupisha uchunguzi

Wizara ya elimu kuangazia zaidi makuzi ya vipaji

14
1
00:02:43
10.05.2022

Kwa mujibu wa katibu mwandamizi katika wizara ya eimu, Dr Sara Ruto mpango wa elimu ya umilisi yaani CBC panoja na mpango wa kutathimini uwezo wa wanafunzi unalenga kujenga vipaji na nyenzo za wanafunzi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Find us on Facebook: 🤍 Check our website: 🤍 #KBCchannel1 #ThisIsKBC #News

Katibu katika wizara ya Elimu Belio Kipsang atathmini jinsi mtihani wa Grade 3 unavyoendeshwa

354
2
0
00:05:56
16.09.2019

#Kenya #KTNNews #KTNPrime SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Like us on Facebook: 🤍 For more great content go to 🤍 and download our apps: 🤍 KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Wizara ya elimu: Vyuo vya kiufundi ambavyo havijaidhinishwa ni hatari kwa wanafunzi

390
1
1
00:01:30
25.02.2022

KTN News Live: Streaming Kenya, Africa and World news and programmes 24/7 #LiveStream #LiveNews #KTNNews #KTNPrime Kenya's number one 24/7 news channel. KTN News TV keeps you updated on the latest news in Kenya and around the World. KTN News Live: Streaming Kenya, Africa and World news and programmes 24/7 Watch Breaking and the latest news happening in Kenya, Africa and across the globe in real-time. Livestream KTN News SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Like us on Facebook: 🤍 KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live 🤍 Watch KTN News 🤍 Follow us on 🤍 Like us on 🤍

Wizara ya Elimu Yawasilisha Bajeti Yake

2364
7
0
00:02:44
26.05.2016

Waziri wa elimu sayansi na teknolojia nchini Prof. Joyce Ndalichako amewasilisha bajeti ya wizara yake huku sekta ya sayansi na teknolojia ikipewa kipaumbele

Mtalaa wa CBC kusalia: Wizara ya elimu imesisitiza huko Mombasa

994
2
4
00:10:18
28.12.2021

#LiveStream #LiveNews #KTNNews #KTNPrime Kenya's number one 24/7 news channel. KTN News TV keeps you updated on the latest news in Kenya and around the World. KTN News Live stream - Nairobi, Kenya Watch Breaking and the latest news happening in Kenya, Africa and across the globe in real-time. Livestream KTN News SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Like us on Facebook: 🤍 KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live 🤍 Watch KTN News 🤍 Follow us on 🤍 Like us on 🤍

Wizara Ya Elimu Zanzibar Kuajiri Wafanyakazi 700

330
0
0
00:02:35
24.05.2017

Wizara ya elimu na mafunzo ya amali Zanzibar inatarajiwa kuajiri wafanyakazi 700 wakiwemo walimu wa sayansi na hisabati ili kukabiliana na uhaba wa wafanyakazi katika wizara hiyo.

Wizara ya Elimu yapendekeza elimu ya ngono

642
1
1
00:02:26
25.01.2017

. Wizara ya elimu huenda hivi karibuni ikalazimika kuanzisha masomo ya elimu ya ngono iwapo bunge litapitisha mabadiliko ya sheria. Wabunge hii leo walijadili mswada unaopiga marufuku mazungumzo nje ya korti kutatua makosa yanayohusiana na ngono. Stephen Letoo ana taarifa hiyo. Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: 🤍 🤍 🤍 🤍 🤍

Wizara ya elimu yagawa vifaa maalum

471
5
1
00:13:38
04.02.2019

Wizara ya elimu yagawa vifaa maalum SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Like us on Facebook: 🤍 For more great content go to 🤍 and download our apps: 🤍 KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Kwa HISIA KALI Mbunge KISHIMBA aishauri haya Wizara ya elimu BUNGENI

7698
58
18
00:10:00
10.05.2022

Mbunge wa Kahama Mjini Jumanne Kishimba akichangia bungeni kuhusiana namna ambavyo Wizara ya elimu inatakiwa kuja na utaratibu wa kuwafundisha kwa vitendo wanafunzi mashuleni.

HII NDIO BAJETI YA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA IKIWASILISHWA BUNGENI

1730
10
1
00:29:50
04.05.2021

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amewasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2021/22.

Wizara ya elimu yasema wanafunzi 82,000 hawajaingia sekondari

806
7
2
00:02:36
28.08.2021

Wizara ya elimu yasema wanafunzi 82,000 hawajaingia sekondari Magoha aongoza zoezi la kuwatafuta wanafunzi wa kidato cha kwanza Magoha: Nairobi imesajili 76% pekee ya wanafunzi wa kidato cha kwanza Wazazi wengi hawana pesa za karo na matumizi mengine ya kimsingi

Wizara ya elimu: Watakaojihusisha na udanganyifu kuadhibiwa vilivyo

212
0
0
00:01:01
15.10.2018

Wizara za Elimu, Usalama na habari na Teknolojia ICT zitafanya kazi pamoja katika kukabiliana na udanganyifu katika mitihani ya kitaifa. Hayo yamesemwa leo huku onyo la kupokonywa vyeti kwa watakaohusika kwa kusadia wanafunzi kuvujisha mitihani likitolewa.

Wizara ya elimu yasema wanafunzi wataruhusiwa kwenda likizo fupi mwezini mhula huu

2445
20
5
00:01:59
02.11.2021

#Trending #KTNNews #KTNPrime Wizara ya elimu yasema wanafunzi wataruhusiwa kwenda likizo fupi mwezini mhula huu Watch Breaking and the latest news happening in Kenya, Africa and across the globe in real-time. Livestream KTN News SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Like us on Facebook: 🤍 KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live 🤍 Watch KTN News 🤍 Follow us on 🤍 Like us on 🤍

COVID-19: Changamoto inayokosesha wizara ya elimu usingizi

200
1
0
00:02:23
26.06.2020

#NTVJioni #NTVKenya #NTVNews Waziri wa elimu Profesa George Magoha amesisitiza kwamba amri ya kukaa umbali wa mita moja itakuwa changamoto kubwa kwa shule hasa za msingi hata hivyo hilo halitaizuia serikali kuendelea na mipango ya kufungua shule na taasisi za elimu ya juu ifikapo Septemba. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: 🤍ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

ELIMU YA WATU WAZIMA KUPEWA KIPAUMBELE

519
9
1
00:02:54
05.03.2019

Ni Dkt. Noel Monde Mkurugenzi wa Elimu ya mafunzo ya ufundi (TVET) Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Na Majjid Mjengwa Mkurugenzi wa Karibu Tanzania Organisation (KTO) wakielezea umuhimu na fursa ya elimu kwa watu wazima

Wizara ya elimu yakutana na bodi ya shule ya Starehe

380
2
0
00:00:41
19.01.2019

Maafisa wa wizara ya elimu wamefanya kikao na bodi siamamizi ya shule ya upili ya wavulana ya Starehe kwa nia ya kutafuta mwafaka kuhusu utata uliozuka kwenye usajili wa mwanafunzi wa kidato cha kwanza. Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: 🤍 🤍 🤍 🤍 🤍

Serikali kupitia wizara ya elimu inakusudia kujenga madarasa zaidi ya 2,000 mapya

358
1
0
00:03:36
16.02.2022

KTN News Live: Streaming Kenya, Africa and World news and programmes 24/7 #LiveStream #LiveNews #KTNNews #KTNPrime Kenya's number one 24/7 news channel. KTN News TV keeps you updated on the latest news in Kenya and around the World. KTN News Live: Streaming Kenya, Africa and World news and programmes 24/7 Watch Breaking and the latest news happening in Kenya, Africa and across the globe in real-time. Livestream KTN News SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Like us on Facebook: 🤍 KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live 🤍 Watch KTN News 🤍 Follow us on 🤍 Like us on 🤍

Wizara ya elimu yajikuna kicha kuhusu ufunguzi wa shule

7059
43
12
00:05:15
29.06.2020

Huenda serikali ikafungua shule kwa awamu ifikapo septemba mosi,huku watahiniwa wa mwaka huu wakipewa kipaumbele iwapo mapendekezo ya wizara yatapitishwa na kamati ya elimu bungeni. Ila hofu kuu ikiwa ni vipi agizo la mita moja miongoni mwa wanafunzi litatekelezwa. Katika shule ya msingi ya mwiki walimu wanakabiliwa na changamoto ya kutekeleza masharti yaliyowekwa kwani idadi ya wanafunzi shuleni humo ini zaidi ya elfu tatu huku madarasa yakiwa machache.

🔴#LIVE: HAPATOSHI BUNGENI, MIJADALA WIZARA YA ELIMU YAKOLEA, WABUNGE WATOA HOJA ZENYE UJAZO....

5619
18
0
03:44:30
11.05.2022

🔴#LIVE: HAPATOSHI BUNGENI, MIJADALA WIZARA YA ELIMU YAKOLEA, WABUNGE WATOA HOJA ZENYE UJAZO.... Bunge la 12 mkutano wa saba, umeendelea leo Mei 11, 2022 ambapo Wabunge wameendeleo kuchangia hoja zao katika wizara ya Elimu. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

Wizara ya elimu yatangaza wanafunzi wa gredi za 7 hadi 10 watasomea katika shule za bweni

1203
4
3
00:03:00
12.05.2022

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: 🤍ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Wizara ya elimu yataka adhabu ya kiboko irejeshwe shuleni

69
0
00:02:13
06.12.2021

Wizara ya elimu sasa inatafakari kuhusu kurejeshwa adhabu ya viboko shuleni ili kukabiliana na visa vya utovu wa nidhamu. Waziri wa elimu Profesa George Magoha anasema wakati umewadia wa kurejesha adhabu ya viboko ili kukita nidhamu miongoni mwa wanafunzi ambao wana mtindo wa kuteketeza shule. Wakati huo huo Profesa Magoha amewahimiza wazazi kukita nidhamu miongoni mwa watoto wao na wasitarajie waalimu kufanya miujiza ili kuwarekebisha wanafunzi wenye utovu wa maadili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Find us on Facebook: 🤍 Check our website: 🤍 #Magoha #SchoolUnrest #CorporalPunishment

KUPPET yataka wizara ya elimu kuweka mikakati kabambe kabla kuagiza walimu kurejea shuleni

4242
31
17
00:06:48
29.09.2020

#Kenya #KTNNews #KTNPrime SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Like us on Facebook: 🤍 For more great content go to 🤍 and download our apps: 🤍 KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live 🤍 Watch KTN News 🤍 Follow us on 🤍 Like us on 🤍

Usalama wa Wanafunzi: Wizara ya Elimu ya tathmini hali duni ya miundo msingi ya shule ya Kiganjo

169
1
0
00:04:51
02.10.2019

#Kenya #KTNNews #KTNPrime SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Like us on Facebook: 🤍 For more great content go to 🤍 and download our apps: 🤍 KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

WIZARA YA ELIMU YAMWAGA BILIONI 15.9 KUJENGA OFISI YA WIZARA

328
1
2
00:02:20
24.11.2021

WIZARA YA ELIMU YAMWAGA BILIONI 15.9 KUJENGA OFISI YA WIZARA Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia leo Novemba 24,2021 wamesaini mkataba na Kampuni ya ujenzi ya CRJE inayomilikiwa na Raia wa kichina kwa ajili ya kujenga majengo ya ofisi ya Wizara ya Elimu. Akizungumza mbele ya waandishi wa Habari leo katika mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Dkt.Leonard Akwilapo amesema kuwa mkataba huo walioingia na mkandari wa Kampuni ya CRJE umegharimu zaidi shilingi za Kitanzania Bilioni 15.9 WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm

🔴#LIVE: WABUNGE WAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA ELIMU, MKENDA ATOA UFAFANUZI WA HOJA ZA WABUNGE...

1566
14
3
01:13:11
11.05.2022

🔴#LIVE: WABUNGE WAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA ELIMU, MKENDA ATOA UFAFANUZI WA HOJA ZA WABUNGE... Bunge la 12 mkutano wa saba, umeendelea leo Mei 11, 2022 ambapo Wabunge wameendeleo kuchangia hoja zao katika wizara ya Elimu. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

MAMBO ANAYOYAFANYA RAIS SAMIA YASABABISHA WANASHERIA WA WIZARA YA ELIMU KUNOLEWA

1190
3
1
00:03:21
08.04.2022

MAMBO ANAYOYAFANYA RAIS SAMIA YASABABISHA WANASHERIA WA WIZARA YA ELIMU KUNOLEWA WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm

Rais Uhuru Kenyatta aagiza wizara ya elimu kutoa kalenda mpya ya elimu kwa muda wa siku 14

564
3
0
00:02:56
12.11.2020

#Kenya #KTNNews #KTNPrime SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Like us on Facebook: 🤍 For more great content go to 🤍 and download our apps: 🤍 KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live 🤍 Watch KTN News 🤍 Follow us on 🤍 Like us on 🤍

wizara ya elimu zanzibar nafasi za kazi

724
2
0
00:02:20
18.11.2020

wizara ya elimu nafasi za kazi

Wizara ya elimu yatarajiwa kutangaza kalenda ya masomo ya 2021

172
1
0
00:02:35
12.11.2020

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: 🤍ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Wakfu wa Mpesa washirikiana na Wizara ya Elimu kusambaza visodo shuleni

811
2
1
00:00:54
15.10.2019

Waziri wa elimu George Magoha amewaonya wote ambao wana mipango ya kutofikisha visodo vinavyotolewa kwa ajili ya wanafunzi shuleni. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: 🤍ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya #NTVToday #NTV #NTVNews

Назад
Что ищут прямо сейчас на
wizara ya Elimu firhad hakim video compiling C libraries for iOS kisan amapiano sample pack free download Fancam 4 klee DOCX zu PDF mexicorea Comedy golpo chips change name on imo 1 inch Anakan Murai парки России fususul hikem Nogear Shule za upili কলেজে ভর্তির নোটিশ disney